Unanijua unanisikia ni moja ya mistari inayopatikana katika ngoma
‘Unanijua Unanisikia’ ya MwanaFA ambaye jina lake limetajwa na rapper
Fabolous kutoka nchini Marekani, aliyekuwepo katika party ya kinyamwezi
na mastaa wakubwa duniani.
Party hiyo ilikuwa ni ya uzinduzi wa bidhaa za BallyXSwizz kutoka kwa mtayarishaji wa muziki nchini Marekani, Swizz Beatz iliyokutanisha watu mbalimbali akiwemo mwanamitindo kutoka Tanzania, Flaviana Matata ambaye ni rafiki wa Mwana FA na ndiye aliye rekodi video ikimuonyesha ambayo Fabolous akimsalimia Mwanafalsafa(Mwana FA).
“All my friends know how i ‘understand’ Loso..@flavianamatata done made my year,not a day not a week not a month,A YEAR aisee..thanks for the S/O @myfabolouslife i have always been a big fan! NB;Sjui kama ntawaruhusu kunywa hata maji siku mbili hizi,i cant promise 😜,” ameandika Mwana FA katika mtandao wake wa Instagram.
Kufuatia salamu hizo kunaashiria muziki wa Bongo Flava unakuwa kwa kasi hii ni baada ya mastaa kadha kuonyesha kuwatambua wasanii wa Tanzania kama Diamond Platnumz, Alikiba ambaye ngoma yake ya ‘Seduce Me’ ilisikika katika sherehe hiyo na wengineo wengi na inatoa mwanya wao kufanya kazi katika nchi hiyo.

Comments
Post a Comment