MAPENZI YANAHITAJI MAANDALIZI.


Ngoja tuone Kuna aina ya Wanawake huwa wanasababisha Boyfriend zao wacheat... Wana Masharti kama fomu ya kujiunga Upatu...

Hawataki Romance, eti mate uchafu... HAwataki uwaguse  wakati wa Preparation.. Hawataki kula ndizi matoke ya mbeya. Wengine hizo ndo raha zetu.. Bila hizo preparation mahaba hata hayanogi tena, utadhani unafanya Mapenzi na Waasi wa Boko Haram. Yaani wao wanataka mkifika ni Segere tu, basi! Eti hayo mambo ya Kizungu ni uchafu, Aliyekwambia Mapenzi ni Biashara ya Usafi ni nani???


Ukiamua kuyavulia nguo Mapenzi huna tofauti na Chizi, kila kilicho jalalani ni halali yako kula. Hizo sheria zenu kama Katiba ya FIFA pelekeni kwa Shangazi zenu. Mapenzi bila maandalizi? Jamaa atagonga nje tu, akutane na mtoto wa Kitanga, lahaullah, halafu unamlaumu eti unatafuta nini huko nje, Nje kuna upepo ndani joto!

Kama we ni mmoja wao PLEASE badilika, zile mishemishe kabla ya Mechi ndo mpango mzima kwa Mwanaume, KALAGHABAHO!

Comments